Inaripotiwa kuwa Liverpool wameorodhesha wachezaji wanne kama wanaoweza kumrithi Mohamed Salah mwaka 2026, wakijiandaa na kazi ngumu ya kumpata mbadala wa nyota huyo mahiri kutoka Misri. Hata hivyo, mawazo yoyote …
Makala nyingine
Real Madrid huwa na shughuli nyingi katika kusaka vipaji vipya, na wameweka wazi kuwa eneo la kiungo linaweza kuwa moja ya sehemu wanazotarajia kuimarisha kupitia usajili wa wachezaji chipukizi mwakani. …
Rodrygo anatarajiwa kuondoka Real Madrid mwezi Januari huku timu za Premier League, Arsenal na Liverpool, zikimfuatilia mchezaji huyo wa Brazil, ripoti kutoka Caught Offside zinaeleza. Mchezaji huyo mwenye umri wa …
Arsenal wanaripotiwa kumtaka kiungo wa Napoli na aliyewahi kuchezea Manchester United, Scott McTominay, kwa mujibu wa TEAMtalk. McTominay alijiunga na Napoli miezi 18 iliyopita na akawa kipenzi cha mashabiki mara …
Katika dhamira yake ya kuibadilisha kikamilifu safu ya kiungo ya Manchester United, kocha Ruben Amorim sasa yuko tayari kufanya uamuzi mgumu kumtoa sokoni nahodha wa timu, Bruno Fernandes, ili kufadhili …
Ripoti kutoka Italia zinadai kuwa Juventus wanapanga kurejea tena katika wazo la kumsajili Granit Xhaka kwenye dirisha la usajili la Januari, zikiwa ni miezi sita tu tangu arejee Ligi Kuu …
Gazeti la Gazzetta dello Sport limearifu kuwa Tottenham Hotspur na Bayern Munich wanaonyesha nia ya kweli ya kumsajili mshambuliaji wa Juventus, Dusan Vlahovic, ambaye kwa sasa anapitia kipindi kigumu. Mchezaji …
Sky Sport Italia yaripoti Juventus wanapanga kukutana ana kwa ana na Luciano Spalletti kujadili uwezekano wa kumteua kuwa kocha mkuu mpya wa Bianconeri Jumanne, huku “Old Lady” ikitarajiwa kumpa mkataba …
Klabu ya Real Betis imethibitisha kumsajili rasmi Antony kutoka Manchester United kwa ada ya awali ya pauni milioni 19. Hata hivyo, maelezo ya kina ya makubaliano hayo yameonyesha mabadiliko makubwa …
AS Roma bado wanapigania usajili wa Tyrique George, lakini mpango wa kubadilishana Gimenez-Dovbyk na Milan wapoa tena. Kuna taarifa zinazoendelea kuripoti kwamba Roma wanatumaini kumsajili Tyrique George kutoka Chelsea siku …
Klabu ya Fiorentina imethibitisha kumsajili beki wa pembeni Tariq Lamptey kwa uhamisho wa kudumu akitokea Brighton & Hove Albion. Kwa mujibu wa taarifa, mtaalamu wa usajili wa Football Italia, Alfredo …
Dakika chache tu baada ya Edon Zhegrova, Lois Openda naye ametua nchini Italia kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya afya na klabu ya Juventus. Mabingwa wa kihistoria wa Serie A, …
Nahodha wa Italia, Gianluigi Donnarumma, yupo mbioni kujiunga na Manchester City kwa ada ya uhamisho ya €27 milioni na mshahara wa awali wa €15 milioni. Kwa mujibu wa taarifa za …
Muda unazidi kuyoyoma kwa Alexander Isak kutimiza ndoto ya kujiunga na Liverpool. Klabu hiyo imekuwa ikimvutia kwa muda mrefu na tayari walishatoa ofa ya pauni milioni 110 mapema dirisha hili …
Dirisha la usajili wa majira ya joto bado lipo wazi hadi sasa, na Manchester United wanaweza kufanya maamuzi ya dakika za mwisho kabla ya muda wa mwisho Jumatatu saa 1 …
Real Betis wameripotiwa kuondoa ofa yao ya kumsajili Antony kutoka Manchester United, hatua inayotia mashaka hatima ya winga huyo kabla ya dirisha la usajili kufungwa Jumatatu. Antony, ambaye amehusishwa kwa …
Jamie Vardy sasa ana hamasa zaidi kuhusu wazo la kujiunga na Cremonese katika Serie A kama mchezaji huru, ripoti ya Sky Sport Italia. Strika huyo mzoefu sasa hana mkataba baada …

