Openda Atua Turin Kwaajili ya Vipimo vya Afya Juventus

Dakika chache tu baada ya Edon Zhegrova, Lois Openda naye ametua nchini Italia kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya afya na klabu ya Juventus.

Openda Atua Turin Kwaajili ya Vipimo vya Afya Juventus

Mabingwa wa kihistoria wa Serie A, Juventus, leo asubuhi wamewapokea wachezaji wapya wawili kwa pamoja. Wote wawili, Zhegrova na Openda, wametua Italia kwa ajili ya kukamilisha vipimo vyao vya afya kabla ya kujiunga rasmi na kikosi cha The Old Lady.

Leo hii unaweza kutusua mkwanja mrefu endapo utacheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Aviator, Poker, Roullette, Keno, Super Heli na mingine kibao. Ingia Meridianbet sasa na ucheze hapa.

Kwa mujibu wa mwandishi Romeo Agresti, Openda aliwasili Uwanja wa Ndege wa Linate jijini Milan siku ya Jumatatu asubuhi ambapo klabu hiyo wanatarajia makubwa klabuni hapo kwa mchezaji huyo.

Openda Atua Turin Kwaajili ya Vipimo vya Afya Juventus

Bibi Kizee wa Turin mpaka sasa kwenye mechi mbili ambazo amecheza ameshinda zote na kwasasa ndiye anayeongoza ligi akiwa na pointi 6 sawa na Napoli lakini ni consonati ndio inamfanya akae juu.

Je Juventus msimu huu inaweza kufika wapi kwenye ligi?. Na je kwenye ligi ya mabingwa wanaweza kufika hatua gani au wanaweza kutwaa taji?. Bashiri na meridianbet leo mechi zote hapa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.