Jamie Vardy sasa ana hamasa zaidi kuhusu wazo la kujiunga na Cremonese katika Serie A kama mchezaji huru, ripoti ya Sky Sport Italia.

Strika huyo mzoefu sasa hana mkataba baada ya mkataba wake na Leicester City kuisha. Ilikuwa ni mshangao mkubwa pale ripoti ilipoibuka mapema wiki hii kwamba Vardy alikutana na Cremonese, klabu mpya iliyopandishwa daraja.
Sky Sport Italia sasa inasisitiza kuwa mazungumzo yamekuwa makali kwa siku chache, na kufikia hatua muhimu. Leo hii unaweza kutusua mkwanja mrefu endapo utacheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Aviator, Poker, Roullette, Keno, Super Heli na mingine kibao. Ingia Meridianbet sasa na ucheze hapa.
Mchezaji huyo wa miaka 38 yuko wazi sana kwa wazo la kuja Italia kumalizia kazi yake ya soka, ambayo ilipea alipoibuka mabingwa wa Premier League akiwa chini ya kocha Claudio Ranieri.


