Jamie Vardy Nje Wiki 3-4.

Mshambuliaji wa Leicester City, Jamie Vardy, atakuwa nje ya uwanja kwa takribani wiki 3-4 kutokana na majeruhi.

Vardy alipata majeruhi ya paja kwenye mchezo wa Carabao Cup dhidi ya Liverpool. Licha ya kuumia kwenye mchezo ule, Jamie Vardy aliendelea kucheza baadhi ya michezo iliyofuata kwenye EPL.

Alikaa benchi kwenye mchezo dhidi ya Man City lakini kwenye mchezo dhidi ya Liverpool, Vardy alirejea uwanjani na hapo ndipo alipoanza kusikia maumivu zaidi.

Kwa mujibu wa kocha wa Leicester City, Brendan Rogers, anasema;

[Vardy] hakuwa na uhakika kama ni pale alivyojigonga na Matip au aliumia kabla ya mchezo huu [dhidi ya Liverpool] lakini alikuwa anaweza kukimbia n.k

Vipimo vinaonesha atatumia muda wa wiki 3 mpaka 4 kupona majeraha ya namna hii.


KUWA MILIONEA MSIMU WA SIKUKUU NA SAHARA RICHIES

Unaanzaje siku yako katika msimu huu wa sikukuu, mchongo upo meridianbet kasino. Sloti pendwa ya Sahara Richies inaweza kukufanya ukawa milionea katika kufunga mwaka huu, Jiunge na ufurahie kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe