Klabu ya Chelsea imetangaza kupata hasara ya £145.6milioni baada ya malipo ya kodi ya mwaka licha ya kufanikiwa kuweza kuchukua ubingwa wa ligi ya mabingwa Ulaya mwezi May.

Matatizo ya kifedha katika klabu ya Chelsea kwenye mwaka wa fedha uliosha 30 June 2021 yalisabibishwa na mlipiko wa ugonjwa wa Uviko-19, ambapo sheria iliwataka wacheze pasipo mashibiki na kukosa mauzo ya ticket, kupungua kwa mauzo ya wachezaji na pia utegemezi toka kwa mmiliki wa klabu Roman Ibrahimović.

Chelsea

Mapato ya Chelsea yaliongezeka kutoka £387.8Milioni hadi £416.8Milioni kutokana na mapato ya haki za matangazo kuongezea, baada ya kutangaza faida ya £39.5milion kwenye mwaka wa fedha uliopita, mwaka huu wametangaza hasara zaidi ya £102Milioni.

Chelsea kwa sasa inategemea kampuni ya Fordstam Limited ili kuendelea kupata usaidizi wa kifedha, kampuni hiyo ni moja ya kampuni zinazomilikiwa na Roman Abramovich na wamepanga kuendelea kuisaidai klabu hiyo kwa kipindi chote.


KUWA MILIONEA MSIMU WA SIKUKUU NA SAHARA RICHIES

Unaanzaje siku yako katika msimu huu wa sikukuu, mchongo upo meridianbet kasino. Sloti pendwa ya Sahara Richies inaweza kukufanya ukawa milionea katika kufunga mwaka huu, Jiunge na ufurahie kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa