Klabu ya Juventus imekubalina na winga wa klabu ya Barcelona Ousmane Dembélé ili kuweza kujiunga na miamba hiyo ya nchini Italia kwa uhamisho huru mwishoni mwa msimu.
Mkataba wa mchezaji huyo wa kifaransa unaisha mwezi June 2022 na kuanzia January atakuwa huru kufanya mazungumzo na klabu yeyote, pia na kusaini mkata wa awali na klabu yeyote, mazungumzo kuhusu mkataba mpya na klabu ya Barcelona yameshindikana na leo wamefikia tamati.

Kulingana na taarifa kutoka nchini Hispania Ousmane Dembélé amekataa offa ambayo klabu ya Barcelona wamempa kuamua kuondoka mwishoni mwa msimu kuisha.
Ousmane Dembélé japo amekubaliana na klabu ya Juventus lakini bado hajasini mkataba wowote, pia anasubili offa ya kutoka klabu ya PSG na klabu ya Manchester United na yenyewe imeshapeleka offa ya kuhitaji huduma ya mchezaji huyo kwa wakala wake Moussa Sissoko lakini bado haijajibiwa.
Unaanzaje siku yako katika msimu huu wa sikukuu, mchongo upo meridianbet kasino. Sloti pendwa ya Sahara Richies inaweza kukufanya ukawa milionea katika kufunga mwaka huu, Jiunge na ufurahie kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa.

CHEZA HAPA

