Klabu ya Mamelodi Sundowns imeingia mkataba na kampuni ya Roc Nation Sports inayomilikiwa na rapa Jay Z wa Marekani.
Kampuni hiyo inayojihusisha na michezo mbalimbali wameingia ubia na Mamelodi Sundowns kwenye maeneo zaidi ya saba huku sehemu kubwa zaidi ni mambo ya nje ya uwanja ikiwemo media.
Ni mkataba unaotegemewa kuisukuma zaidi brand yao kutokana na ukweli kwamba Sundowns wamekuwa wakikosolewa sana kutokana na kufeli kwenye baadhi ya mambo ikiwemo Media.
Unawezaje kuikosa hii! Ndani ya kasino za meridianbet kuna mchezo unaoweza kukupa mkwanja mrefu leo hii, Wild Hot 40 ni njia nyingine ya kukufanya milionea, Chagua namba yako na uvune mkwanja.
Issa
Jay z daf