Yanga Yaipasua Rhino Rangers kwa Mkapa

Klabu ya Yanga imeishikisha adabu timu ya Rhino Rangers hapo jana katika dimba la Mkapa baada ya kuitandika kwa mabao 7-0 kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam.

 

Yanga Yaipasua Rhino Rangers kwa Mkapa

Mchezo huo ulipigwa jana majira ya saa 1:00 usiku huku mpaka kufikia dakika 45 za kwanza za mchezo, Yanga walikuwa tayari wanaongoza kwa mabao 5 kwa bila huku Kennedy Musonda naye akiingia kambani.

Mabao hayo ya Young Africans yalitupiwa kimyani na Ambundo, Bangala, Aziz Ki, Faridi mussa, Musonda mabao mawili na Bryson na kukamilisha jumla ya idadi ya mabao saba huku Rhino Rangers wakigalagazwa vibaya.

Yanga Yaipasua Rhino Rangers kwa Mkapa

Timu hiyo inayoshiriki Ligi daraja la pili, walishindwa kufanya chochote kutokana na kuzidiwa na Mabingwa hao watetezi wa Kombe hili.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.