Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara inaendelea hii leo kwa michezo miwili ambapo mchezo wa mapema kabisa ni kati ya KMC dhidi ya Geita Gold ambao wana maendeleao mazuri kwenye ligi.

KMC wamekuwa na mwendelezo usoiridhisha kwenye ligi kwani kwenye mechi zao 5 zilizopita, wameshinda mecho moja pekee na wamepoteza michezo minne akiwa na pointi 24 kitu ambacho kinaipa klabu hiyo wasiwasi msimu ujao.
Geita Gold mechi zake 5 zilizopita ameshinda michezo mitatu, sare mbili na kapoteza mchezo mmoja hadi sasa akiwa na pointi zake 34.

Mechi ya mwisho kukutana timu hizi mbili walitoka sare ya kufungana bao 1-1. Je leo hii nani kuondoka mbabe. ODDS KUBWA zipo Meridianbet ingia na ubashiri sasa.

