KMC Kukiwasha Dhidi ya Geita Gold Leo Hii

Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara inaendelea hii leo kwa michezo miwili ambapo mchezo wa mapema kabisa ni kati ya KMC dhidi ya Geita Gold ambao wana maendeleao mazuri kwenye ligi.

 

KMC Kukiwasha Dhidi ya Geita Gold Leo Hii

KMC wamekuwa na mwendelezo usoiridhisha kwenye ligi kwani kwenye mechi zao 5 zilizopita, wameshinda mecho moja pekee na wamepoteza michezo minne  akiwa na pointi 24 kitu ambacho kinaipa klabu hiyo wasiwasi msimu ujao.

Geita Gold mechi zake 5 zilizopita ameshinda michezo mitatu, sare mbili na kapoteza mchezo mmoja hadi sasa akiwa na pointi zake 34.

KMC Kukiwasha Dhidi ya Geita Gold Leo Hii

Mechi ya mwisho kukutana timu hizi mbili walitoka sare ya kufungana bao 1-1. Je leo hii nani kuondoka mbabe. ODDS KUBWA zipo Meridianbet ingia na ubashiri sasa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.