Inter Yatangaza Kuongeza Mkataba wa Inzaghi

Inter wamethibitisha kuongeza mkataba wa Simone Inzaghi hadi Juni 2025. Nerazzurri ilitoa taarifa rasmi leo asubuhi.

 

Inter Yatangaza Kuongeza Mkataba wa Inzaghi

“FC Internazionale Milano inafuraha kutangaza kwamba Simone Inzaghi ametia saini kandarasi mpya na klabu hiyo kubaki kama kocha mkuu hadi 2025,” walisema wababe hao wa Serie A.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Mtaalamu huyo wa Kiitaliano aliteuliwa mnamo 2021 kuchukua nafasi ya Antonio Conte.

Inter Yatangaza Kuongeza Mkataba wa Inzaghi

Ameshinda mataji manne katika kipindi cha miaka miwili aliyokaa Stadio Meazza, mawili ya Coppa Italia na Supercups mbili za Italia. Mkataba wake ulikuwa unamalizika Juni 2024, lakini Inter sasa wamefikia makubaliano ya kuongeza muda wake wa kukaa kwa msimu mmoja zaidi, hadi mwisho wa kampeni za 2024-25.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Inzaghi mwenye miaka 50, ameshinda michezo 72 kati ya 112 akiwa kocha wa Nerazzurri, akiishuhudia timu yake ikifunga mabao 215 na kuruhusu 100.

Inter Yatangaza Kuongeza Mkataba wa Inzaghi

Aliiongoza Nerazzurri hadi Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa ndani ya miaka 13 msimu uliopita lakini akashindwa na Manchester City ya Pep Guardiola mjini Istanbul.

Inter wameshinda mechi tatu za kwanza za Serie A muhula huu na ndio klabu pekee kwenye ligi ambayo haijafungwa mabao hadi sasa 2023-24.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.