Meneja wa AS Roma, Jose Mourinho ameingizwa kwenye chama cha mameneja wa ligi 1000 kuelekea mchezo wake dhidi ya Sasuolo.

Mourinho atakuwa meneja wa 33 barani Ulaya atafikia michezo 1,000 kama meneja wakati Roma itakapo vaana na Sassuolo katika ligi ya Serie A Jumapili.
“Ni dhahiri nimefurahi sana kufikia hatua muhimu ya mechi 1000 nilizosimamia, lakini wakati huo huo ni kawaida katika asili yangu kutarajia mechi inayofuata badala ya kukaa na kufikiria mechi hizo za thamani ambazo nimepata kufikia sasa katika kazi yangu, “alisema Mourinho.
“Kuingizwa katika Chama cha Wasimamizi wa Ligi 1000 za vilabu ni mafanikio ambayo najivunia na naishukuru LMA kwa kukumbuka hatua hii muhimu na mechi nyingi ambazo timu zangu zimeshinda wakati huo.” aliongeza.
Meridianbet inakuletea ushindi kwenye kiganjani kwako, unafurahia radha halisi ya burudani ya kasino mtandaoni na tabasamu la ushindi.



[email protected]
Habari njema