City Kukipiga Dhidi ya Chelsea Kombe la FA Raundi ya Tatu

Droo ya Kombe la FA raundi ya tatu imetoka hapo jana ambapo, klabu ya Manchester City watakuwa wenyeji wa Chelsea huku Liverpool wakianza mechi yao dhidi ya Wolves katika uwanja wa Anfield.

 

City Kukipiga Dhidi ya Chelsea Kombe la FA Raundi ya Tatu

Mabingwa hao watetezi wa Ligi kuu ya Uingereza  City, walipoteza nusu fainali ya mwaka jana dhidi ya vijana wa Darajani huku mchezo huo unawakutanisha tena Chelsea wakiwa bado hawajaimarika.

Wakati huo huo mabingwa watetezi wa Kombe hilo Liverpool waliwashinda The Blues kwa mikwaju ya penalti 6-5 na kubeba kombe hilo kwa mara ya nane wataumana dhidi ya Wolves.

Wakati huo huo, Manchester United itamenyana na Everton, huku Brentford ikicheza na wapinzani wa London, West Ham na Crystal Palace wakiwakaribisha Southampton, huku washindi mara nyingi wa Kombe hilo Arsenal watasafiri kucheza na Oxford, huku Tottenham wakiwakaribisha Portsmouth.

City Kukipiga Dhidi ya Chelsea Kombe la FA Raundi ya Tatu

Manchester City yupo nafasi ya pili akiwa na pointi 32 huku Chelsea akiwa nafasi ya nane na pointi zake 21 huku Pep Guardiola akipewa nafasi kubwa ya kushinda mechi hiyo kutokana na ubora wao.


Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.

BONYEZA HAPA KUCHEZA

 

 

odds kubwa

Acha ujumbe