Chelsea Inakaribia Kukamilisha Dili la Nkunku

Klabu ya Chelsea ambayo kwasasa ipo chini ya kocha mkuu Graham Potter wanakaribia kukamilisha dili la kumsajili Christopher Nkunku wa RB Leipzg kwa dau la €60m na masharti rahisi ya malipo.

 

Chelsea Inakaribia Kukamilisha Dili la Nkunku

Vipimo vya afya tayari vilishakamilika mnamo Septemba huku makubaliano yakiwa yamefanyika kati ya Chelsea na Rb Leipzig na mkataba wa muda mrefu ulikubaliwa kuanzia Juni 2023 na wakati wa kusaini mkataba unakaribia.

Nkunku ndiye kinara wa Bundesliga mpaka sasa akiwa amepachika mabao 12 akiwa na Rb Leipzig ambayo ipo nafasi ya 3 baada ya kushinda mechi zao 8 sare 4 na kupoteza mara tatu.

Baada ya mapumziko ya Kombe la Dunia watacheza mechi yao ya Ligi dhidi ya Bayern Munich ambao ndio mabingwa watetezi wa Bundesliga.

Chelsea Inakaribia Kukamilisha Dili la Nkunku

Nkunku ambaye ni raia wa Ufaransa ameshindwa kucheza Kombe la Dunia kutokana na kupata jeraha lilifanya aondolewe kikosini huku timu yake ya Taifa ambayo ipo chini ya Deschamps ikishinda mechi zao mbili na kuwa timu ya kwanza kwenda hatua ya 16 bora.

Chelsea ambayo bado inasuasua kwenye Primia Ligi baada ya Kombe la Dunia itakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Bournemouth huku wakishikilia nafasi ya 8 baada ya kujivunia pointi zao 21.

Chelsea Inakaribia Kukamilisha Dili la Nkunku


Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.

BONYEZA HAPA KUCHEZA

 

 

odds kubwa

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.