Vicent Aboubakar ameibeba timu yake ya Taifa hii leo baada ya kuipatia bao moja na kutoa pasi ya goli ambayo imesaidia wao kupata sare ya 3-3 kwenye mchezo wao waliokuwa wakicheza dhidi ya Serbia.

Cameroon walitangulia kufunga bao lakini mpaka kufikia dakika ya 53 Serbia walikuwa wakiongoza kwa mabao 3-1, ndipo Vicent aliingia akitokea benchi na kuja kupachika bao na kutoa pasi ya bao.
Licha ya Serbia kuongoza takwimu za kipindi cha kwanza lakini bado haikutosha kuwafanya wao wapate pointi tatu muhimu hii leo. Mitrovic alipata bao ambalo onyesho lake la pande zote lilistahili dakika nane baada ya kipindi cha pili.

Mabao ya Cameroon yamefungwa na Choupo Moting, Catelletto, na Vicent ambapo kweny Kundi hilo G wapo nafasi ya tatu huku nafasi ya mwaisho ikishikiliwa na Serbia, huku Vicent akiweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza wa Kiafrika kufunga na kuassist kwenye Kombe la Dunia tangu mwaka 1966
Hatma ya Cameroon sasa inashikiliwa na Brazil ambao hii leo watakuwa Dimbani kumenyana na Uswiz ambao nao pia wana pointi tatu baada ya ushindi wa mechi iliyopita dhidi ya Cameroon.

Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.
BONYEZA HAPA KUCHEZA


