Azam FC na Al Hilal Leo Nyasi Zitawaka Moto

Azam FC inatarajia kumualika AL Hilal ya Ibenge kwenye mchezo wao wa kirafiki Chamazi Complex huku mechi ya kwanza timu hiyo kutoka Sudan ikitoa sare ya kufungana 1-1 dhidi ya Namungo FC.

 

Azam FC na Al Hilal Leo Nyasi Zitawaka Moto

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa majira ya saa 1:00 usiku huku Al Hilal wakijiandaa na michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika yanayotarajiwa kuanza mwezi ujao na wataanza dhidi ya Mamelod Sundowns mechi ya kwanza.

Azam FC wao wametoka kupoteza mechi yao ya mwisho ya Ligi sasa na matumaini ya ubingwa yamepotea kutokana na kupitwa pointi nyingi na anayeongoza Ligi Yanga ambae kapoteza mchezo mmoja pekee.

Azam FC na Al Hilal Leo Nyasi Zitawaka Moto

Al Hilal kwenye Ligi yao huko Sudan wapo nafasi ya kwanza huku wakiwa na pointi zao 44 baada ya kucheza michezo 17, wakiwa wameshinda michezo yao 14, sare mbili na kupoteza mchezo mmoja.

 

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.