Kiungo wa Yanga, Yannick Bangala anaikosa mechi ya leo ya Yanga dhidi ya Dodoma Jiji baada ya kuwa na kadi tatu za njano ambazo amezipata.

 

Bangala Kuikosa Dodoma Jiji Leo

Bangala ambaye ana mchango mkubwa kwenye timu yake na alichukua tuzo ya mchezaji bora wa Ligi kuu ya Tanzania bara ameonyesha ubora wake katika eneo analochezea na anathibitisha hilo kila siku.

Leo hii masaa machache yanayokuja Yanga watakipiga dhidi ya walima zabibu Dodoma ambao bado wana hali mbaya kutokana na nafasi waliyopo ya 14 baada ya kucheza michezo yao 11 huku wakishinda mechi mbili pekee.

Yanga wapo nafasi ya 3 kwenye msimamo baada ya michezo 10 ambayo wamecheza wakiwa ni timu pekee Tanzania kwenye ligi ambao hawajapoteza mchezo wowote, wakiwa wamepata sare mbili tuu na pointi zao 26 kibindoni.

Bangala Kuikosa Dodoma Jiji Leo

Je kukosekana kwa Bangala katika eneo la kiungo linaweza kuathiri kitu gani katika klabu ya Yanga kwenye mchezo wa leo? na Dodoma Jiji watafanya nini kujinasua kule chini mbele ya mabingwa watetezi?


Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

 

 

Bangala, Bangala Kuikosa Dodoma Jiji Leo, Meridianbet

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa