Mayele Atambulishwa Pyramids ya Misri

Aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Fiston Kalala Mayele hatimaye atambulishwa rasmi katika klabu ya Pyramids ambayo inashiriki ligi kuu ya Misri.

 

Mayele Atambulishwa Pyramids ya Misri

Mshambuliaji huyo ambaye alichukua kiatu cha mfungaji bora hapa Tanzania katika ligi kuu ya NBC akifungana na Saido Ntibanzokiza na hakutangazwa katika kilele cha siku ya wananchi hivyo kuthibitisha kuwa hataendelea kuwa ndani ya kikosi hicho.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Kwa misimu miwili aliyodumu Mayele ameweza kutwaa mataji mbalimbali hapa Tanzania ikiwemo ya Ligi kuu akiwa chini ya kocha mkuu Nasredine Nabi ambaye naye ametimka klabuni hapo.

Mayele Atambulishwa Pyramids ya Misri

Baada ya kuvutia Afrika nzima kwa uwezo wake wa kupachika mabao nyavuni klabu nyingi zilivutiwa na mshambuliaji huyo wa timu ya Taifa ya DR Congo zikimhitaji na hatimaye ameibukia Uarabuni.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Mayele Atambulishwa Pyramids ya Misri

Umaarufu wake ulikuwa mkubwa sana kutokana na aina yake ya ushangiliaji wa kutetema ambao ulivutia watu wengi sana. Na hakuishia hapo tu bali aliweza kuifikisha klabu yake ya Yanga mpaka fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika ambayo walipoteza dhidi ya USM Alger.

 

 

Acha ujumbe