Mbrazil wa Simba Atoweka Kambini Uturuki

Jefferson Luis Simba

Wiki moja tu baada ya kusajiliwa kama mchezaji mpya wa Simba SC, Mlinda mlango Jefferson Luis raia wa Brazil amepata majeraha akiwa kwenye maandalizi ya msimu mpya ya klabu hiyo huko Uturuki. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

 

Inaelezwa kuwa Uongozi wa Simba umeanza jitihada za kutafuta mbadala wake.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Vyanzo vimeeleza kuwa kipa huyo amepata majeraha na atakuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu huku Simba ikiripotiwa kupanga kuachana naye kwa kumlipa fidia. Majeraha ya Jefferson yanafanya kikosi cha Wekundu hao wa Msimbazi kusaliwa na makipa wawili tu.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Jefferson Luis alikuwa na majeraha ya paja ambayo alitoka nayo katika klabu yake ya zamani kabla ya kujiunga na Simba, hivyo baada ya kuumia inaelekea hatokuwa fiti kwa muda mrefu. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

 

john noble barinyima

Mrithi wa Jefferson Luis ni huyu mwamba anaitwa John Noble Barinyima kutoka Enyimba na timu ya taifa ya Nigeria.

Uongozi wa Simba wamelazimika kutafuta kipa mwingine baada ya Mbrazil kupata majeraha ambayo yatamuweka nje kwa kipindi kirefu.

Acha ujumbe