Liverpool Kukosa £ 7.5m Mane Akijiunga na Al Nassr

sadio mane
Sadio Mane

Liverpool inaripotiwa kukosa paundi milioni 7.5 kama bonasi baada ya Sadio Mane kujiunga na Al Nassr kutoka Bayern Munich. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 amefikia makubaliano ya kujiunga na Al Nassr ya Saudi Pro League akiungana na Cristiano Ronaldo katika taifa hilo la Kiarabu.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Mane alihamia Allianz Arena makao makuu ya Bayern Munich akitokea Anfield pale Liverpool msimu uliopita wa joto kwa paundi milioni 35.

Lakini alishindwa kutimiza matarajio yake makubwa huko Bavaria licha ya kushinda taji la ligi kuu ya Ujerumani – akifunga mabao saba pekee ya Bundesliga.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Na Bayern sasa wako tayari kumuuza kwa takriban paundi milioni 30, jambo ambalo litakuwa pigo kwa kikosi cha Jurgen Klopp.

Kwa mujibu wa Daily Mail, Bayern ililipa Liverpool ada ya awali ya £27.5m.

Paundi milioni 7.5 zilizosalia zilipaswa kulipwa ikiwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Senegal alitimiza mahitaji ya nyongeza fulani kulingana na utendaji wake ndani ya uwanja. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Acha ujumbe