Simba Yabeba Ngao ya Jamii Mbele ya Yanga Kibabe

Ngao ya Jamii ni mali ya Simba baada ya kupata ushindi kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi ndani ya Uwanja wa Mkwakwani.

 

Simba Yabeba Ngao ya Jamii Mbele ya Yanga Kibabe

Ilikuwa ni fainali ambayo Yanga walikuwa na nafasi kubwa kwenye upande wa kupata matokeo ndani ya dakika 90 kutokana na mashambulizi waliyokuwa wakiyapeleka kwa Ally Salim.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Hilo pia limedhihirishwa na nahodha wa Yanga Bakari Mwamnyeto ambaye ameweka wazi kuwa hawakutumia nafasi walizopata.

Simba Yabeba Ngao ya Jamii Mbele ya Yanga Kibabe

Dakika 90 Uwanja wa Mkwakwani, Tanga ubao umesoma Yanga 0-0 Simba na kupelekea wasake mshindi kwa penalti. Mnyama ameshinda penalti 3-1 Yanga huku mpigaji akiwa ni Aziz Ki.

Kwa Mnyama Ally Salim ameibuka shujaa baadà ya kuzuia penalti tatu kuzama langoni mwake kutoka kwa Yanga.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Simba Yabeba Ngao ya Jamii Mbele ya Yanga Kibabe

Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamond inarejea Dar kuanza maandalizi ya msimu wa 2023/24 kwenye mechi za ligi na kimataifa.

Ikumbukwe kwamba Yanga walitwaa taji la Ngao ya Jamii 2022 kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Simba, Uwanja wa Mkapa.

Acha ujumbe