Chadrack Boka, beki wa Yanga ameweka wazi kuwa ushindani ndani ya ligi ni mgumu jambo ambalo linawafanya wawe makini kila wanaposhuka uwanjani kusaka pointi tatu.

Beki huyo ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miloud Hamdi ndani ya kikosi cha Yanga msimu wa 2024/25, kituo kinachofuata kwa vinara hao wa ligi ni dhidi ya Azam FC, Aprili 10 2025, Uwanja wa Azam Complex.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
āLigi ni ngumu na kuna ushindani mkubwa hilo linatupa nguvu sisi wachezaji kupambana kila mchezo bila kuchoka malengo ikiwa ni kupata pointi tatu muhimu kwenye mechi ambazo tunacheza.ā



