Chelsea Kusaka Pointi 3 Dhidi ya Luton Town Leo

Ligi kuu ya Uingereza EPL kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja mbapo vijana wa Pochettino Chelsea watakuwa Starmford Bridge kucheza dhidi ya Luton Town majira ya saa 4:00 usiku.

 

Chelsea Kusaka Pointi 3 Dhidi ya Luton Town Leo

Chelsea imeanza msimu vibaya mara baada ya kukosa pointi sita kwenye mechi zake mbili alizocheza huku mechi ya kwanza akitoa sare dhidi ya Jogoo, na ya pili akipoteza dhidi ya West Ham.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Timu hiyo ilikuwa na msimu mbaya uliopita, baada ya kumaliza katika nafasi ya ya 12 ya msimamo wa EPL, na hivyo hatashiriki michuano ya Ligi ya mabingwa msimu kwa kukosa vigezo hivyo.

Chelsea Kusaka Pointi 3 Dhidi ya Luton Town Leo

Klabu hiyo ya London imefanya usajili mkubwa sana chini ya Toddy Boehly kwa kuwaleta wachezaji kama Nkunku, Jackson, Caicedo, Lavia na wengine kibao lakini bado hawajaanza vizuri msimu huku Christopher akiumia.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Leo hii watamenyana dhidi ya Luton ambayo ilianza mchezo wake kwa kupoteza dhidi ya Brighton wikendi ya kwanza, wikendi iliyopita hakucheza hivyo atataka pointi tatu leo hii dhidi ya Blues.

 

 

Acha ujumbe