Juventus wamejikuta katikati ya kipindi kibaya cha matokeo, na sasa Luciano Spalletti huenda akalazimika kucheza bila mshambuliaji wake nyota, Kenan Yıldız, katika mechi ya maamuzi ya mchujo wa UEFA Champions League dhidi ya Galatasaray Jumatano hii.

Juventus walifungwa 2-0 nyumbani na Como katika Serie A Jumamosi alasiri, na sasa wako nyuma kwa pointi nne dhidi ya Roma waliosogea nafasi ya 3 baada ya kushinda shinda mechi yao dhidi ya Cremonese.
Juventus sasa wamepoteza mechi nne kati ya tano zao za mwisho katika mashindano yote, hawajapata ushindi wowote katika kipindi hicho na wameruhusu mabao 15.
Ili kuzidisha matatizo kwa Juventus, huenda pia wakamkosa Kenan Yıldız katika mechi ya mkondo wa pili wa mchujo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Galatasaray Jumatano usiku.
Meridianbet inakwambia kuwa endelea kubashiri hapa kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Ingia kwenye akaunti yako na uanze safari yako ya ushindi sasa.


