Ligi ya Mabingwa (UEFA) Kuanza Kutimua Vumbi Leo

Je unajua kuwa leo hii usiku wa Ulaya (UEFA) unaanza?. Timu mbalimbali kutoka Mataifa mbalimbali zinachuana vikali kusaka pointi tatu muhimu. Leo hii kuna Arsenal. Real Madrid, PSV na wengine wengi. Wewe chuana na Meridianbet kupata ODDS za kibabe na ubashiri sasa.

Ligi ya Mabingwa (UEFA) Kuanza Kutimua Vumbi Leo

Wababe wa michuano hii ya UEFA  Real Madrid watakuwa Santiago Bernabeu kumenyana vikali dhidi ya Olympique Marseille ya kule Ufaransa. Vijana hawa wa Xabi Alonso wanahitaji kuchukua taji hili kwa kuanza vyema siku ya leo. Nafasi ya kuondoka na pointi 3 pale Meridianbet amepewa Real.  Pale  Allianz Italia kutakuwa na mechi ya kukata na shoka kati ya Juventus vs Borussia Dortmund ya kule Ujerumani. Kwenye mechi 4 za mwisho kukutana kwenye mashindano yote ikiwemo mechi za kirafiki Juve ameshinda tatu na Borussia kashinda moja tuu. Je leo hii nani ataondoka na pointi 3?.

Pesa nyingi zipo kwenye michezo ya Kasino siku ya leo ingia na ucheze Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli  na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Kwa upande wa Arsenal ambao hawajawahi kushinda UEFA watakuwa ugenini kusaka nafasi ya ushindi dhidi ya Athletic Bilbao kutoka kule Hispania. Nafasi kubwa ya kushinda pale Meridianbet wamepewa The Gunners wakiwa na ODDS 1.85 kwa 4.70. Je nani kuanza vyema leo kwenye usiku wa Mabingwa Ulaya?. Bashiri hapa.

Ligi ya Mabingwa (UEFA) Kuanza Kutimua Vumbi Leo

Wakati huo huo katika dimba la Philips Stadion, PSV Eindhoven watamleta kwake Union St. Gilloise ya kule Ubelgiji ambao kwenye msimamo wa ligi yao wapo nafasi ya 1. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya 2. Zinakutana timu ambazo zote zinafanya vyema kwenye ligi zao. Meridianbet inakwambia  tandika jamvi hapa na Meridianbet.

Nao SL Benfica watakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Qarabag FK ambao kushinda mtanange huu wa leo wamepewa ODDS 12 kwa 1.25. Takwimu zinaonesha kuwa timu hizi mbili hazijawahi kukutana kabisa, hivyo leo hii ni siku ya kila timu kumuonesha mwenzake ubabe. Je nani kuondoka na ushindi kule Ureno?. Jisajili sasa.

Unaweza kubashiri mechi nyingine ya UEFA ya Tottenham Hot Spurs dhidi ya Villarreal huku timu hizi zikiwa zina muda mrefu kabisa kukutana huku mara ya mwisho kukutana ilikuwa msimu wa 2010 kwenye mechi ya kirafiki ambapo Spurs alipasuka. Leo hii ni mechi ya Ligi ya Mabingwa huku kila timu ikitaka ushindi. Meridianbet imeipa mechi hii ODDS 1.90 kwa 3.95. Bashiri sasa.

 

 

 

 

 

 

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.