Liverpool Yatokea Nyuma Wakiwa 10 na Kuichapa Newcastle

Klabu ya Liverpool imeshinda mchezo wake wa jana dhidi ya Newcastle wakiwa pungufu baada ya Van Dijk kutolewa nje kwa kupewa kadi nyekundu mapema sana kipindi cha kwanza.

 

Liverpool Yatokea Nyuma Wakiwa 10 na Kuichapa Newcastle

Ndani ya dakika 45 za kwanza Newcastle alikuwa akiongoza kwa bao 1-0 huku nafasi kubwa ya kushinda mchezo huo wakipewa Magpies lakini haikuwa hivyo ilivyotarajiwa mpaka dakika 90 zilivyomalizika.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Liverpool ilitokea nyum ana kushinda kwa mabao 2-1 baada ya Jurgen Klopp kufanya mabadiliko na kumuingiza Nunez ambaye ndiye aliibuka kinara kwa kufunga mabao 2 kaika dakika ya 81 na 93.

Liverpool Yatokea Nyuma Wakiwa 10 na Kuichapa Newcastle

Ni mara ya pili Majogoo wanapewa kadi nyekundu ndani ya mechi tatu walizocheza huku kadi nyekundu ya kwanza wakikata rufaa na wakafanikiwa kukubaliwa. Kadi hiyo alipewa MacAllister dhidi ya Bournemouth.

Kwenye mechi 10 ambazo walizowahi kukutana timu hizi mbili, Newcastle hajawahi kushinda, ametoa sare moja pekee huku Klopp akishinda michezo 9.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Liverpool Yatokea Nyuma Wakiwa 10 na Kuichapa Newcastle

Mechi inayofuata ya Ligi, Liver atakuwa mwenyeji wa Aston Villa huku Newcastle ya Howe wao watawakaribishwa na Brighton.

Acha ujumbe