Milan Wanaendelea Kumsaka Broja Licha ya Chelsea Kusitasita

Milan bado inatafuta chaguo la kumleta mshambuliaji wa Chelsea Armando Broja mwenye miaka 21, kwa San Siro kwa mkataba wa mkopo, licha ya kupokea majibu hasi kutoka kwa WaLondon baada ya uchunguzi wao wa awali.

 

Milan Wanaendelea Kumsaka Broja Licha ya Chelsea Kusitasita

La Gazzetta dello Sport limeripoti kuwa Milan wamekuwa wakiwasiliana na wawakilishi kutoka Stamford Bridge, lakini Chelsea wanasita kumruhusu Broja kuondoka kabla ya kujua kama kuna kitu kingine kinaweza kutokea kabla ya mwisho wa dirisha la usajili la majira ya kiangazi.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Washika mitutu hao wa London hivi majuzi wamempoteza nyota wake Christopher Nkunku aliyesajiliwa majira ya kiangazi kwa ‘kipindi kirefu’ kutokana na jeraha la goti alilolipata wakati wa mechi ya kirafiki ya kujiandaa na msimu mpya dhidi ya Borussia Dortmund.

Milan Wanaendelea Kumsaka Broja Licha ya Chelsea Kusitasita

Hayo yamesemwa, Milan bado wana nia ya kutaka kumsajili Broja, ambaye hivi karibuni amepona jeraha lake baya la goti. La Gazzetta anaandika kwamba yuko katika nafasi nzuri ya kujiunga na Rossoneri juu ya Hugo Ekitike wa PSG.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Milan Wanaendelea Kumsaka Broja Licha ya Chelsea Kusitasita

Broja anasemekana kuwa na hamu ya kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara kwa timu iliyo katika kiwango cha juu, ndiyo maana La Gazzetta inaamini kwamba Milan inaweza kuwa mahali pazuri kwa Waalbania hao.

Acha ujumbe