Milan Wanajiandaa kwa Matibabu ya Loftus-Cheek Baada ya Makubaliano na Chelsea

Vyanzo vingi vya habari nchini Italia vinadai kuwa Milan wanajiandaa kumfanyia vipimo Ruben Loftus-Cheek baada ya kufikia makubaliano na Chelsea.

 

Milan Wanajiandaa kwa Matibabu ya Loftus-Cheek Baada ya Makubaliano na Chelsea

Calciomercato.com na Sky Sport Italia zinadai kuwa Rossoneri wamefikia makubaliano kamili na The Blues hivyo wababe hao wa Serie A sasa wanapanga safari ya kiungo huyo Mwingereza kwenda Italia, ambapo atafanyiwa vipimo vya afya na Diavoli.

Milan wanatarajiwa kulipa takriban €20m, ikijumuisha nyongeza ili kumpata RLC.

Ukiwa unaendelea kujiuliza wapi utapata pesa wakati huu ligi imesiha, basi chimbo ni moja tuu napo ni Meridianbet ODDS KUBWA, na machaguo zaidi ya 1000 yanapatikana ingia na ucheze sasa.

Milan Wanajiandaa kwa Matibabu ya Loftus-Cheek Baada ya Makubaliano na Chelsea

Kwenye karatasi, ndiye mbadala wa Sandro Tonali, ambaye hivi karibuni atakamilisha uhamisho wa thamani ya zaidi ya €70m kwenda Newcastle United.

Loftus-Cheek anatarajiwa kutua Italia siku chache zijazo kufanyiwa uchunguzi wa afya yake na kukamilisha uhamisho wa kudumu wa Stadio Meazza.

Akiwa ametokea katika Academy ya Chelsea  mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 amecheza mechi 155 na The Blues, na kufunga mabao 13.

Kocha wa zamani wa Milan Arrigo Sacchi alimsifu mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza katika mahojiano yake ya hivi punde na La Gazzetta dello Sport siku ya Jumanne.

Milan Wanajiandaa kwa Matibabu ya Loftus-Cheek Baada ya Makubaliano na Chelsea

Sloti, Aviator, Poker, Roulette na hii yote inapatikana ndani ya Meridianbet Kasino ambapo ni rahisi kupiga mkwanja mrefu sana.

Wakati huo huo, Milan wanaendelea na mazungumzo na Chelsea, wakitarajia kumsajili mchezaji mwenza wa RLC Christian Pulisic.

Acha ujumbe