Napoli Wanataka Kumsajili Amrabat Anayelengwa na United

Corriere della Sera wanapendekeza kwamba Napoli wanafikiria kumpigia debe Sofyan Amrabat, ambaye amekuwa akisubiri kuhamia Manchester United.

 

Napoli Wanataka Kumsajili Amrabat Anayelengwa na United

Kiungo huyo wa kati wa Morocco mwenye umri wa miaka 27 alionekana kupangiwa kuondoka Fiorentina msimu huu wa joto baada ya kung’ara kwenye Kombe la Dunia la 2022, lakini wiki zimepita bila dalili yoyote ya kuhama.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Manchester United kwa muda mrefu wamekuwa wakivutiwa na Amrabat lakini hawako tayari kumhamisha hadi wakamilishe mauzo zaidi, na kumwacha mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 katika hali ya sintofahamu huko Florence.

Napoli Wanataka Kumsajili Amrabat Anayelengwa na United

Corriere della Sera kupitia TMW inaeleza jinsi Napoli wameanza kufikiria kwa dhati kumchukua Amrabat katika wiki ya mwisho ya dirisha la uhamisho baada ya kukosa kipaji cha Celta Vigo, Gabri Veiga, ambaye ametimkia timu ya Al-Ahli ya Saudia.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Kocha Rudi Garcia tayari ametoa mwanga wa kijani kuhusu mchezaji huyo katika siku zijazo.

Napoli Wanataka Kumsajili Amrabat Anayelengwa na United

Napoli walikuwa na nia ya kumsajili Amrabat wakati akiwa na Hellas Verona, lakini hatimaye alipendelea kuhamia Florence wakati huo.

Acha ujumbe