Bosi wa Celta Vigo Rafa Benitez amethibitisha kuwa Gabri Veiga yuko karibu kujiunga na Napoli na lazima wawe wakweli.

Mabingwa hao wa Serie A wako mbioni kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 kwa €36m, ikijumuisha nyongeza. Veiga alikuwa mchezaji wa akiba ambaye hajatumika katika sare ya 1-1 ya Celta dhidi ya Real Sociedad hapo jana usiku.
Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.
Benitez amesema, “Tunakaribia kukamilisha makubaliano, lazima tuwe wakweli na tuseme kwamba makubaliano yako karibu. Tulizungumza kabla ya mechi, na kumpeleka leo ingekuwa hatari. Kwa bahati nzuri, wachezaji wenzake walifanya vizuri na hawakuhitaji kuhusika.”

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.
Napoli walianza kampeni mpya ya Serie A kwa ushindi wa 3-1 dhidi ya Frosinone jana.

