Klabu ya Everton imemfuta kazi kocha wake Rafa Benitez baada ya kuwa na matokeo mabovu ya hivi karibuni huku mchezo wake wa mwisho akipoteza kwa 2-1 dhidi ya Norwich City.
Everton wamepoteza michezo saba kati ya kumi na wanapointi sita zaidi kutoka katika timu zenye hatari ya kushuka daraja, bodi imeamua kuchukua maamuzi magumu ili kunusuru timu isiwe katika hatari zidi ya kuweza kufanya vibaya zaidi.
Rafa Benitez anekuwa ba wakati mguu kwa miezi kazaa kwenye klabu ya Everton huku akishinda mchezo mmoja tu tangia mwezi Septemba. Alipoulizwa baada ya mchezo wake dhidi ya Norwich kuisha kama anaona ananafasi zaidi ya kubaki kwenye klabu hiyo alijibu, “mimi ni mtaalamu na nina uzoefu wa kutosha.”
“Nimekuja hapa kutatua tatizo sio kwa miezi mitano iliyopita, huenda tunazungumzia miaka, unapojaribu kutatua tatizo inabidi ujipe muda, mfungaji bora wa msimu ulioisha hachezi hata nusu msimu ni ngumu, kwa sasa nina imani tutarejea kwa kishindo.”
Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.
CHEZA HAPA