Tanzania Kukipiga Dhidi ya Uganda Hii Leo

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itashuka dimbani hii leo kumenyana dhidi ya Uganda kwenye michuano ya kuwania kufuzu Afcon huku mechi hiyo ikitarajiwa kupiga majira ya saa 10:00 jioni.

 

Tanzania Kukipiga Dhidi ya Uganda Hii Leo

Taifa Stars wamefanya mazoezi hapo jana katika dimba la Suez Canal kwaajili ya kujiweka fiti kwenye mchezo huu wa leo huku wakiahidiwa ahadi ya Milioni 500 endapo watafanikiwa kufuzu kucheza Afcon.

Wachezaji wote wapo fiti kwaajili ya huu mchezo wa leo baada ya mazoezi ambayo wameyafanya huku nahodha wa timu hiyo ya Taifa Mbwana Samatta akisema kuwa wamejiandaa vizuri kuwakabili Uganda.

Tanzania Kukipiga Dhidi ya Uganda Hii Leo

Uganda amekuwa msumbufu sana anapokutana na Tanzania kwani mechi ya mwisho kukutana ilikuwa ya kirafiki na Taifa Stars alipoteza mchezo huo. Sasa wanakutana kwenye mechi muhimu ambayo kila timu inahitaji matokeo. Je nani kuondoka mbabe?

 

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.