Vlahovic Adokeza Kuondoka Juventus Huku Akivutiwa na Arsenal na Man United.

Arsenal na Manchester United wanamnyatia Dusan Vlahovic, ambaye ameacha dokezo lingine kwa mashabiki waliomuuliza kama atabaki Juventus. “Hilo si swali la kuniuliza mimi,” alijibu.

Vlahovic Adokeza Kuondoka Juventus Huku Akivutiwa na Arsenal na Man United.
 

Mshambuliaji huyo wa kati bado ana mkataba hadi Juni 2026, lakini mazungumzo ya kuongeza mkataba yamekwama. Alikuwa akipiga picha na mashabiki wakati mmoja wao alipomuuliza ikiwa atabaki Juventus.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Juventus walilipa €83.5 milioni pamoja na bonasi kumsajili kutoka Fiorentina mwezi Januari 2022, na tangu wakati huo amefunga mabao 56 na kutoa pasi za mabao 14 katika mechi 142 za mashindano rasmi.

Vlahovic Adokeza Kuondoka Juventus Huku Akivutiwa na Arsenal na Man United.

Hata hivyo, klabu hiyo haiko tayari kuendelea kumlipa Vlahovic mshahara wake wa sasa, na inatafuta kuuza mchezaji huyo majira haya ya kiangazi, kwani mkataba wake unakaribia kuisha.

Ligi Kuu ya England inaonekana kuwa chaguo kuu zaidi, huku Arsenal na Manchester United wakiongoza mbio hizo, ingawa Chelsea na Paris Saint-Germain pia wanaonyesha nia.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.