Uongozi wa Klabu ya Yanga umethibitisha kuwa umepata mualiko wa kwenda Rwanda kushiriki mechi ya kirafiki na Rayon Sports tarehe 15 mwaka huu.

Tarahe ambayo bodi ya ligi wamepanga kuwa siku ya mchezo wa kiporo kati ya Simba na Yanga. Yanga wakiwa wenyeji.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
Huku taarifa zikisema kuwa kama kweli Young Africans wamealikwa Rwanda, basi wanapaswa kupewa kibali na TFF kwa mujibu wa kanuni, jambo ambalo limepingwa na mabosi wa klabu hiyo.
Afisa Habari wa Klabu ya Young Africans Ali Kamwe amesema: “Tumepata mualiko Rwanda n Kenya kwa ndugu zetu Gor Mahia na siyo kweli eti ili twende huko lazima tupewe kibali na TFF.


