Zamalek Mabingwa Wapya Egypt.

 

Klabu ya Zamalek SC imetwaa Ubingwa (13) wa Ligi kuu Misri baada ya kushinda mchezo wao wa Jana Usiku dhidi ya El-Entag El-Harby katika Uwanja wa Kimataifa wa Cairo.

 

 

Klabu ya Zamalek wamewapiku Al Ahly kutwaa ubingwa huo wa Ligi Kuu ya Misri kwa mechi ya ziada baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya El-Entag El-Harby baada ya miaka 5.

Timu hiyo ilitwaa taji la Ligi ya Soka ya Misri (2020-2021), baada ya kumshinda mwenyeji wao, El Entag El Harby, kwa mabao mawili, katika mchezo uliowakutanisha jana kwenye Uwanja wa Air Defence huko Cairo.

Kwa ushindi huu, Zamalek iliongezea alama yake hadi alama 79, alama sita nyuma ya Al-Ahly wanaoshika nafasi ya pili baada ya kulazimishwa sare ya 3-3 dhidi ya El Gouna.


NAMBA 40 ZA MKWANJA

Unawezaje kuikosa hii! Ndani ya kasino za meridianbet kuna mchezo unaoweza kukupa mkwanja mrefu leo hii, Wild Hot 40 ni njia nyingine ya kukufanya milionea, Chagua namba yako na uvune mkwanja.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.