Gabriel Magalhaes Ndiye Beki Mwenye Magoli Mengi EPL

Beki wa kati wa Arsenal Gabriel Magalhaes ndiye beki ambaye ana mabao mengi Ligi kuu ya Uingereza kuliko beki yoyote yule huku jana akiisaidia timu yake kupata alama tatu muhimu.

 

Gabriel Magalhaes Ndiye Beki Mwenye Magoli Mengi EPL

Beki huyo aliifungia timu yake bao katika dakika ya 63 kwenye mchezo wao wa Dabi ya London dhidi ya Chelsea ambapo walikuwa ugenini na kuwafanya waongoze Ligi wakiwa na pointi 34 kileleni.

Gabriel mpaka sasa amefikisha mabao 07 kwenye EPL tangu msimu jana ambaye ndiye ana magoli mengi, akifuatiwa na beki wa Chelsea ambaye ni majeruhi Reece James akiwa na mabao 06 pekee.

Mabeki wengine wenye mabao 05 wakimfuata nyuma Gabriel ni Conor Coady wa Everton, pamoja na Ben Mee wa Brentford.

Gabriel Magalhaes Ndiye Beki Mwenye Magoli Mengi EPL

Arsenal mpaka sasa kwenye Ligi ya Uingereza imeshinda michezo 11, imepoteza mchezo mmoja na imetoa sare mchezo mmoja huku malengo yao yakibaki kuwa ni kubeba kombe hilo ambalo hawajabeba muda mrefu.


AVIATOR

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.