Stojkovic Amesema Majeraha Yamemfelisha

Kocha wa Serbia Dragan Stojkovic amelazimika kujibu matatizo ya jeraha la Serbia baada ya kushindwa na Brazil, akiamini wangeweza kuleta ushindani mkubwa wakiwa na kikosi kilicho fiti kikamilifu.

 

Stojkovic Amesema Majeraha Yamemfelish

Timu ya Stojkovic ililala kwa mabao  2-0 dhidi ya washindi mara tano wa Kombe la Dunia katika mechi yao ya ufunguzi kwenye fainali, huku mabao mawili ya Richarlison kipindi cha pili yakimaliza mpambano wa Kundi F kwenye Uwanja wa Lusail Iconic.

Akiwa amerejea kutoka kwenye jeraha la mguu, Aleksandar Mitrovic alishindwa kuisaidia Serbia kupata bao hata moja, huku Dusan Vlahovic akitokea benchi baada ya kupona jeraha la paja, na winga Filip Kostic hakutumika kama mchezaji wa akiba ambaye hatumiwi tena kutokana na matatizo ya misuli.

Stojkovic anaamini kuwa kikosi chake kimepitia changamoto kubwa ya majeraha ambayo yamewafanya wafungwe kirahisi na Brazil huku wakibakia na wachezaji watatu muhimu ambao wamekosa utimamu wa kimwili.

Stojkovic Amesema Majeraha Yamemfelish

Kocha huyo alisema kuwa hawakuweza kutambua timu yao na katika kipindi cha pili hawakuwa timu tena, bila shaka na ndipo timu ya Tite wakajua kutumia vizuri wachezaji wao bora na nafasi zao kuwaadhibu.

Serbia ina wachezaji watatu muhimu ambao ni majeruhi na wao sio Brazil yenye watu mioni 200, wao ni nchi ndogo sana, na majeraha hayo waliyapata kabla ya Kombe la Dunia kwahivyo ni bahati mbaya.

Stojkovic Amesema Majeraha Yamemfelish
Serbia sasa wamepoteza mechi nane kati ya 10 za Kombe la Dunia tangu 2006, na Australia (tisa) ambayo imepoteza zaidi kwa wakati huo. Kikosi cha Stojkovic kitajaribu kujibu mapigo watakapomenyana na Cameeroon siku ya Jumatatu, kabla ya kuhitimisha kampeni yao ya Kundi G dhidi ya Uswizi.


Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.

BONYEZA HAPA KUCHEZA

 

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.