Feisal Salum Kuwakosa Mbeya City Kesho

Kiungo wa klabu ya Yanga Feisal Salum ataukosa mchezo wao wa kesho watakaocheza dhidi ya Mbeya City katika Dimba la Benjamin Mkapa baada ya kupata kadi tatu za njano mfululizo.

 

Feisali Salum Kuwakosa Mbeya City Kesho

 

Kocha msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amethibitisha hilo alipokuwa akizungumza kueleka mchezo huo huo kuwa watamkosa Feisal kwenye mchezo huo huku wakijiandaa kupata pointi tatu muhimu.

Yanga ambao ni vinara wa Ligi mpaka sasa kwenye Ligi na ndiyo timu pekee ambayo haijapoteza mchezo wowote kwenye ligi akiwa na pointi zake 29 kileleni baada ya kushinda mechi zake tisa na sare mbili.

Mbeya City wao wametoka kupata sare nne mfululizo na sare ya mwisho wamepata dhidi ya watani wao Simba, na kesho wanasubiriwa watafaya nini mbele ya mabingwa watetezi Yanga.

Feisali Salum Kuwakosa Mbeya City Kesho

Mbeya City wapo nafasi ya sita na pointi zake 19 huku mechi mbili za mwisho kukutana walitoka sare zote. Mechi ya kwanza walitoka sare ya bila kufungana na mechi ya pili walitoka kwa kufungana bao moja kwa moja.

Kesho wanakutana eneo la kiungo Feisal kukosekana je mashabikiwa Yanga wanaweza kuona pengo la kiungo huyo?


Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.

BONYEZA HAPA KUCHEZA

 

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.