Mabao hayo yaliyoishinda Wales yalikuja mwishoni mno na kumwacha Gareth Bale akiwa amesimama uwanjani, mikono juu, uso wenye sononeko, akiwa amechanganyikiwa na hali ambayo hata yeye hakuweza kuokoa.

Kwa mara ya kwanza, kizazi cha dhahabu cha wachezaji ambao wamesaidia taifa hilo kufuzu hawakuwa na cha kufanya kwa muda huo. Na sasa ni Iran, iliyokumbwa na janga la kitaifa na kuangamizwa na Uingereza siku nne zilizopita, ikitafakari hatua za mtoano kwa mara ya kwanza katika historia yao.
Kihesabu, Wales bado wako kwenye mbio za kufuzu, ingawa ni kama imekwisha. Wanahitaji Marekani kuifunga Uingereza na Iran na pia watahitaji kuifunga timu ya Uingereza ambayo ndiyo kwanza imeichapa Iran mabao 6-2.
Kupoteza kwa Wayne Hennessey kwa kadi nyekundu ulikuwa mwanzo tu wa msiba, kwani Rouzbeh Chesmi na Ramin Rezaeian walifunga dakika ya 98 na 101. Beti matokeo ya mwisho na hatma ya Wales kupitia machaguo spesho ya meridianbet, mchezo huu na mingine mingi imepewa ODDS kubwa na bomba. Beti hapa na kitochi bila bando.

Yote yalikuwa yameonekana kuwa tofauti sana Wales walipoanza na nyimbo hizo zilisimulia hadithi tofauti za mataifa mawili. Bendi ilicheza kwa kasi sana Wales lakini Ukuta wa Berlin uliwekwa kwenye lango la Iran, Mashabiki wa Irani nao hawakuwa nyuma kuwatia nguvu na ari ya upambanaji wachezaji wao.
Jukumu la kuivusha Wales kwenye hatua ya inayofuata lipo kwenye miguu ya Gareth Bale na wachezaji wenzake, Benchi la ufundi pamoja na dua za mashabiki hao ambao ni kama tayarti wamekubali kuumaliza mwendo, hii ni kutokana na kupoteza michezo miwili mpaka sasa kwa jumla ya mabao 8, mabao 6 pekee wakifungwa na England.
Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.


