Gareth Bale ameipatia sare timu yake ya Wales katika dakika ya 82 baada ya kuwa walitanguliwa kufungwa bao na timu ya Taifa ya Marekani kipindi cha kwanza katika michuano ya Kombe la Dunia.

 

Bale Aipatia Wales Sare Dakika za Jioni

Baada ya bao la Timothy Weah kuwaweka USA mbele kabla ya mapumziko, vijana wa Robert Page walionekana kuwa timu tofauti katika kipindi cha pili kwani walikuwa wakilisaka lango la mpinzani ili wasawzishe bao hilo.

Bale alisema: “Hakikuwa kipindi kizuri cha kwanza, kusema ukweli. Walicheza vizuri sana na tulicheza vibaya.”

Bale aliendelea kusema kuwa baada ya mapumziko walibadilisha mambo machache na vijana walitoka kuipigania timu yao kwani toka mwanzo walionekana kama watashinda mchezo wao

Bale Aipatia Wales Sare Dakika za Jioni

Kwa Wales ni hatua nzuri kutoka mahali walipokuwa, walionyesha tabia ambayo walikuwa nayo 2021 kwenye michuano ya Euro dhidi ya Uswizi na wataenda kufanya hivyo tena. Mfungaji huyo bora wa timu hiyo hakuwa na nia ya kueleza kile ambacho Page alisema wakati wa mapumziko.

Marekebisho machache tu ndiyo yalileta matokeo chanya na ilibidi tu kujipanga upya na kufanya kile ambacho timu nzuri hufanya, kurejea kwa nguvu zaidi.

Mchezaji wa Los Angeles FC alikiri kuwa ilikuwa ajabu kufunga bao lake la kwanza kwenye Kombe la Dunia na anapendelea pointi tatu kwani ndio muhimu sana. Mechi inayofuata watamenyana dhidi ya Iran ambao wametoka kupokea kichapo kikubwa kutoka kwa Uingereza.

Bale Aipatia Wales Sare Dakika za Jioni

Baada ya sare hiyo Bale na Wales wapo katika nafasi ya pili huku Uingereza akiwa ndiye kinara baada ya ushindi mnono hapo jana.


Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

 

 

Bale, Bale Aipatia Wales Sare Dakika za Jioni, Meridianbet

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa