Marco Asensio amesema kuwa anataka kusalia Real Madrid kwa “miaka 10 zaidi” huku mchezaji huyo wa Kimataifa wa Uhispania akiendelea na mazungumzo ya kusaini mkataba mpya na klabu hiyo.

 

Asensio Anatarajia Kusalia Miaka 10 Zaidi Real Madrid

Asensio, ambaye yuko kazini na La Roja kwenye Kombe la Dunia, anatazamiwa kuwa mchezaji huru wakati mkataba wake wa sasa na Madrid utakapokamilika mwishoni mwa Juni, huku akiwa anahusishwa na kuondoka Santiago Bernabeu na Barcelona ikiripotiwa kuvutiwa naye.

Hata hivyo, mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 anatumai kuwa anaweza kurefusha mkataba wake na washindi hao wa Ligi ya Mabingwa, ambao amecheza mechi 250 tangu awasili kutoka Mallorca Desemba 2014.

Asensio Anatarajia Kusalia Miaka 10 Zaidi Real Madrid

Asensio ameongeza kwa kusema kuwa kuna mazungumzo kwamba anabadilisha mawazo yake na Real Madrid, lakini siku zote amejaribu kutoa kiwango cha juu alichonacho ndani, halfu itajulikana baadae.

Lakini pia kinachomuumiza ni kwamba klabu hiyo haimtegemei yeye tu hivyo baada ya Kombe la Dunia wote watafanya uamuzi. Anatamani kusalia Madrid kwa miaka mingi na kila kitu nitawezakusalia miaka 10 zaidi alisema.

Asensio pia alitoa salamu zake kwa mchezaji mwenzake Karim Benzema, ambaye aliondolewa kwenye Kombe la Dunia baada ya kupata jeraha kwenye paja lake la kushoto.

Asensio Anatarajia Kusalia Miaka 10 Zaidi Real Madrid

Mchezaji huyo wa Kimataifa wa Ufaransa amekuwa mshindi wa kwanza wa Ballon d’Or kukosa fainali hizo tangu Allan Simonsen raia wa Denmark kushindwa kufuzu kwa michuano hiyo ya 1978.


Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

 

 

Asensio, Asensio Anatarajia Kusalia Miaka 10 Zaidi Real Madrid, Meridianbet

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa