Ronaldo Apewa Zawadi ya Saa ya paundi 630,000

Nyota wa zamani wa Manchester United Cristiano Ronaldo amekabidhiwa zawadi ya saa yenye thamani ya paundi 630,000 ili kusherehekea kuhamia kwake Al-Nassr ya Saudi Arabia. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

ronaldo

Cristiano Ronaldo amepewa zawadi ya saa moja ya Jacob & Co ambayo ina thamani ya paundi 630,000.

Nyota huyo wa Ureno anafanya kazi na kampuni ya kifahari ambayo imeunda saa ya kusherehekea kuhamia kwake Saudi Arabia. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!

 

ronaldo

Akiwa uwanjani, Ronaldo atakuwa na hamu ya kufungua akaunti yake ya mabao akiwa na Al-Nassr watakapomenyana na Al-Ittihad kwenye michuano ya Saudi Super Cup Alhamisi usiku.

Nyota huyo wa Ureno aliongoza klabu yake mpya katika mechi yake ya kwanza dhidi ya Ettifaq Jumapili, mechi ambayo walishinda 1-0, lakini alishindwa kufunga bao. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.