Jurgen Klopp Anamtaka Gallagher Kabla ya Dirisha Kufungwa

Jurgen Klopp tayari amewasha taa za kijani kwa Conor Gallagher, huku kukiwa na tetesi za kuhitajika kwa mchezaji huyo kabla ya dirisha dogo kufungwa usiku wa leo. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

Gallagher

Habari za uhamisho wa Liverpool huku kiungo wa kati wa Chelsea Conor Gallagher akihusishwa na uwezekano wa kuhama siku ya mwisho usajili wa mwezi Januari.

Gazeti la Daily Mail linaripoti kwamba Majogoo wa Jiji ‘wanampenda’ Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza na wako kwenye orodha ya uwezekano wa walengwa wa Jurgen Klopp. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Kocha huyo wa Liverpool ameondoa uwezekano wa kusajili wachezaji wengine, tayari amemsajili Cody Gakpo kwa ada ya awali ya paundi milioni 37 kutoka PSV Eindhoven mapema mwezi huu.

Lakini Klopp ataendelea kupigia kelele kiungo aletwe kabla ya dirisha kufungwa leo 23.00 GMT. Kwa kuzingatia hali mbaya ya Wekundu hao msimu huu, ambayo inawaacha nafasi ya tisa kwenye Ligi Kuu, sehemu kubwa ya mashabiki wanasisitiza kwamba kunahitajika nyongeza.

Gallagher amekuwa akihusishwa na kuwindwa na wapinzani wa Merseyside Everton, pamoja na Newcastle United na Crystal Palace. Na sasa inasemekana kuwa Liverpool ni shabiki wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.

Gallagher alifurahia kipindi cha kuzaa matunda kwa mkopo Palace msimu uliopita ambapo alifunga mabao manane katika mechi 40. Na ingawa ameichezea Chelsea mara 25 katika msimu huu, nafasi yake ya kucheza inaweza kupungua iwapo timu ya Graham Potter itamsajili Enzo Fernandez kwa rekodi ya uhamisho ya Uingereza ya paundi milioni 115.

Inasemekana kwamba Gallagher aliikataa Everton na anataka kusalia Chelsea – au ajiunge na klabu inayocheza UCL. Hicho ndicho kigezo ambacho Liverpool wanakidhi hata kama hawawezi kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa msimu ujao. Nafasi katika Ligi ya Europa inaweza kufikiwa sana. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.