PSG imeripotiwa kuwa imekasirishwa na Chelsea baada ya klabu hiyo kutuma nyaraka zisizo sahihi za uhamisho wa Hakim Ziyech mara tatu, ikielezea hali hiyo kama ‘sarakasi ya daraja A’ na dili hilo likiwa katika hatari ya kuporomoka. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

Ziyech amekuwa akihusishwa na kutaka kuhamia katika klabu hiyo ya Ligue 1 na anaonekana kuwa tayari kuondoka kwa mkopo kabla ya matatizo makubwa kutokea, huku kandarasi zikiwa zimechelewa, licha ya kwamba mchezaji huyo tayari amewasili Paris kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.
Huku hatua hiyo sasa ikiwa hatarini huku PSG wakijiandaa kukata rufaa ili kumaliza mkataba huo, wameelekeza lawama kwa Chelsea, kwa mujibu wa L’Equipe, na wanadaiwa kukasirishwa na klabu hiyo kuwasilisha nyaraka zisizo sahihi.
Matarajio ni kwamba itakuwa vigumu kwa LFP bodi inayoongoza ya Ufaransa – kujibu vyema ombi la PSG, ingawa shirika hilo pia limeingia kwenye mkwamo mkubwa. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Ripoti hiyo inaongeza kuwa LFP pia ilikuwa na tatizo katika siku ya mwisho kwani mifumo yao ya kompyuta ilikumbwa na hitilafu Jumanne jioni, jambo ambalo linaweza kuwa sababu ya rufaa ya PSG kufanikiwa.
Miamba hao wa Ligue 1 wameelezea hali hiyo kama ‘sarakasi ya daraja A’, chanzo kiliiambia Athletic. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.
PSG walikuwa wametumia nguvu kubwa kwenye dirisha la mwezi Januari kutafuta wachezaji wenye vipaji vya kuchezea mpira, kupiga chenga na kukaa na mpira mguu ili kuboresha timu, wakiwalenga Rayan Cherki wa Lyon na nyota wa Zenit Malcom kabla ya fursa ya kumsajili Ziyech kuibuka, ripoti ilidai.

