Israel Mwenda Arejea Simba

Habari njema kwa mashabiki wa Simba SC ni urejeo wa beki wao wa kulia, Israel Patrick Mwenda ambaye amejumuishwa kwenye kikosi cha Mnyama kitakachovaana na Horoya ya Guinea mchezo utakaopigwa Jumamosi February 11. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet.

 

MWENDA

Mwenda ambaye alizua taharuki kwa mashabiki wa Simba SC, baada ya kusemekeana kuwa hana furaha na amani ndani ya viunga vya msimbazi hivyo akawa anaomba kuondoka na kwenda kutafuta changamoto kwingine. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Simba imesafiri na idadi ya wachezaji 24, likiwemo jina na beki huyo wa kulia Israel Mwenda, majina mengine ni Magolikipa-Aishi Manula, Beno Kakolanya, Ally Salim, Walinzi- Kapombe, Gadiel, Mohammed Hussein, Inonga, Onyango, Nyoni, Kennedy, Outtara, Vioungo wa Kati-Sawadogo, Kanoute, Mzamiru, Kapama, Chama, Sakho, Kibu, Washambuliaji-Bocco, Phiri, Baleke, Kyombo, Mohamed Mussa. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.