Simba SC Kucheza na Mbeya City Leo kwa Mkapa

KLABU ya Simba SC Imerejea Tanzania ikitokea Dubai ilipoweka kambi ya wiki moja baada ya kuondoshwa kwenye Kombe la Mapinduzi na Mlandege FC ambao walifanikiwa kuwa mabingwa wa mashindano hayo. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

 

simba

Katika uwanja wa Benjamin Mkapa wengi hupenda kupaita machinjioni kwa mnyama Simba SC ambapo leo atakuwa na shughuli nyingine ya mchezo mgumu dhidi ya Mbeya City ambao watawafuata kwenye dimba hilo majira ya saa 1:00 Usiku. Pata Odds kubwa za soka ukiwa na Meridianbet. Simba ana 1.13 ashinde na Mbeya City ana 16.66 ashinde.

 

Mchezo wa kwanza kwenye mzunguko wa kwanza Mnyama alicheza ugenini Jijini Mbeya na kulazimishwa sare hivyo aliambulia alama moja na kudondosha mbili, leo hii ataweza kumkalisha Mbeya City? Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Miongoni mwa vitu ambavyo wengi wanavitarajia kuviona leo ni usajili mpya wa Simba alioufanya wa kuwaleta nyota Ismael Sawadogo na Jean Baleke je wataonesha kiwango kizuri? Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.