Coastal Union Anamkaribisha Singida Big Stars

Mchezo mwingine wa Ligi kuu ya NBC ni huu hapa ambao utawakutanisha Coastal Union dhidi ya Singida Big Stars ambayo inafanya vizuri kwenye msimamo wa ligi.

 

Coastal Union Anamkaribisha Singida Big Stars

Singida Big Stars ambayo ipo chini ya kocha Pluijm wapo nafasi ya 4 kwenye mismo wakiwa sawa pointi na Azam FC wote 47 huku akiwa ameshinda michezo yao 14 kati ya 24 waliyocheza, wakitoa sare tano na wamepoteza mitano.

Huku Wanamangushi wao wapo nafasi ya 12 wakitoka kushinda michezo miwili mfululizo, huku wakivuna pointi zao 25, ushindi mara sita, sare saba na kupoteza mara 11 kwenye ligi kuu.

Coastal Union Anamkaribisha Singida Big Stars

Coastal Union wanapambana kubaki kwenye ligi kuu huku mechi zikiwa zimebaki chache tuu msimu uishe lakini je ataweza kupata pointi mbele ya Singida ambayo inafanya vizuri hadi sasa?

Mechi ya mwisho kukutana kwenye ligi Wanamangushi waliondoka na pointi tatu.

 

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.