Mechi nyingine ya Ligi kuu ni ile kati ya Coastal Union dhidi ya Tanzania Prisons ambayo itapigwa majira ya saa 10:00 jioni katika dimba la mkwakwani Tanga.

 

Coastal Union Kujiuliza Dhidi ya TZ Prisons

Coastal Union ambao wapo nafasi ya 13 kwenye msimamo wa ligi, wamecheza michezo yao 13, wameshinda michezo yao mitano, sare saba na kupoteza mara 11 pekee hadi sasa huku wakiwa wametoka kushinda mchezo wao uliopita.


Wakati kwa upande wa Prisons wao wanashikilia nafasi ya 14, wakiwa wameshinda michezo mitano, sare saba na wakiwa wamepoteza michezo yao 11 na kujikusanyia pointi zao 22 sawa na wapinzani wao wa leo.

Timu hizi zote zina pointi sawa, zinafanana kila kitu isipokuwa mabao ya kufunga na kufungwa kwenye Ligi kuu ya NBC. ODDS KUBWA unazipata hapa Meridianbet ingia na ucheze sasa.

Coastal Union Kujiuliza Dhidi ya TZ Prisons

Pia kuna michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Poker, Roulette, na Aviator yote hii inakusubiri wewe kwa dau lako dogo tu.

 

 


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa