Dodoma Jiji Kutimua Vumbi Dhidi ya Polisi Tanzania

Mechi ya mwisho ya leo ya NBC ni kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Polisi Tanzania huku timu zote zikihitaji pointi tatu kutokana na nafasi waliyopo kwenye mismamo wa ligi.

 

Dodoma Jiji Kutimua Vumbi Dhidi ya Polisi Tanzania

Mchezo huo utapigwa saa 2:30 usiku katika uwanja wa Jamhuri Dodoma na timu hizo zinatofautiana pointi tano huku Polisi Tanzania ndiye kibonde wa ligi akiwa na pointi 19 pekee.

Polisi Tanzania kwenye michezo 24 ameshinda minne tu akienda sare saba huku akipokea vichapo 13 tofauti na timu nyingine yoyote ya ligi kuu. Mechi ya mwisho katoka kupoteza.

Dodoma Jiji wao kwenye michezo yao 24 waliyocheza, wameshinda saba, sare tatu na kapoteza michezo 14 huku akipoteza michezo miwili mfululizo kwenye ligi.

Dodoma Jiji Kutimua Vumbi Dhidi ya Polisi Tanzania

Je leo ni walima Zabibu au Maafande kuibuka vinara wa pointi tatu kwenye mchezo huo huku kila timu ikiuhitaji.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.