Kocha mkuu wa klabu ya Chelsea Graham Potter ametoka nje na kuzungumzia matokeo ya jana baada ya timu yake kucharazwa mabao 0-2 katika dimba lao la nyumbani la Stamford Bridge. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

Aston Villa waliutala mchezo wa jana kwa kiasi kikubwa huku vijana wa Graham Potter wakitengeneza nafasi chache lakini walishindwa kuzigeuza kuwa mabao.
Matokeo hayo yanaifanya Chelsea kushuka mpaka nafasi ya 11 kwenye msimamo wa Ligi kuu ya Uingereza EPL, lakini wanakabiliwa na mchezo mwingine mgumu kesho siku ya Jumanne dhidi ya Liverpool. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
“Nilidhani timu ilitoa kila kitu,” Potter alisema baada ya mchezo.
“Nia ya timu ilikuonekana. Utaona mara ngapi tuliingia kwenye boksi lao, mashuti yaliyolenga lango yalikuwepo. Kulikuwa na nia chanya lakini matokeo ni machungu kwetu.
“Leo (jana) kulikua na shida kidogo bila shaka. Tunaweza kuhisi uchungu wa wafuasi. Tunapaswa kufuta vumbi na kwenda tena kwa Jumanne.
“Ninaelewa hisia za mchezo unapopoteza nyumbani, watu watakata tamaa na kufadhaika na hasira hakuna anayefurahiya. Ukosoaji wowote unakuja lazima nikubali.
“Hatuna wakati wa kujihurumia tunapaswa kujibu. Tunapaswa kujiandaa kwa mchezo mwingine mkubwa.” Graham Potter.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
Chelsea atacheza dhidi ya Liverpool siku ya Jumanne ambapo mchezo huo huenda ukawa mgumu zaidi kwani timu zote zimepoteza Liver akipoteza dhidi ya Manchester City kwa mabao 4-1. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.

